MSHAMBULIAJI WA HULL CITY KUTOCHEZA KWA WIKI SITA

Mshambuliaji wa klabu ya Hull City Dieumerci Mbokani hatocheza kwa kipindi cha wiki sita baada ya kupata jeraha la paja.
Mshambuliaji huyo wa DR Congo mwenye umri wa miaka 31 ambaye yuko kwa mkopo katika klabu ya Dynamo Kiev alibadilishwa wakati wa sare ya 1-1 dhidi ya Burnley.
Hull pia imethibitisha kuwa jeraha la goti alilopata beki Harry Maguire wakati wa mechi dhidi ya Burnley sio baya sana zaidi ya ilivyodhaniwa.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 huenda akapona tayari kwa safari ya kuelekea Leicester City siku ya Jumamosi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post