MTAMBO WA KISASA WA ED –XRF KWA AJILI YA UCHUNGUZI WA KIMAABARA WAZINDULIWA RASMI MKOANI MBEYA

SHARE:

Muonekano wa Picha ya Mtambo wa kisasa wa ED –XRF kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara ambao umezinduliwa  rasmi Mkoani Mbeya.       ...


Muonekano wa Picha ya Mtambo wa kisasa wa ED –XRF kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara ambao umezinduliwa  rasmi Mkoani Mbeya.

                                                                                   Na EmanuelMadafa,JamiiMojablog 

OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali, leo imezindua na kusimika mtambo mpya wa ED-XRF utakao tumika kufanya uchunguzi wa sampuli na vielelezo mbalimbali vikiwemo vya makosa ya jinai.

Akizungumzia Mtambo huo, Mkemia Mkuu wa Serikali, Profesa Samweli Manyele,alisema lengo kuu ni kurahisisha shughuli za kimaabara pamoja na usimamizi wa sheria zilizo chini ya wakala hiyo.

Alisema, baadhi ya kazi zitakazofanywa na maabara hiyo ni kuhakiki ubora na usalama wa bidhaa, sampuli za mazingira, sampuli zinazohusisha makosa ya jinai kama vile sampuli za vinasaba na dawa za kulevya.

“Awali vipimo vya namna hii vilikuwa vikifanyika Jijini Dar es Salaam tu, ofisi za mikoa zilikuwa zikifanya kazi ya kukusanya sampuli na kusafirisha lakini sasa mtambo huu, umesimikwa Mbeya na utatumiwa na Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kufanya kazi hiyo“alisema 

Amesema maabara ya Mkemia Mkuu wa serikali ni taasisi pekee ambayo inafanya uchunguzi wa vielelezo vya sayansi ya makosa ya iinai ili kusaidia vyombo vya sheria hususani jeshi la polisi na mahakama katika kufanya uchunguzi ili kutoa haki kwa jamii.

“Maabara inachaangia katika kutekeleza sera ya afya ya mwaka 2007 kwa kufanya uchunguzi wa kimaabara kwa kuhakiki ubora na usalama wa bidhaa zinazo zalishwa viwandani “alisema Profesa Manyele.

Amesema maabara ya Mkemia mkuu wa serikali inasimamia utekelezaji wa sheria ya usimamizi wa udhibiti wa kemikali na majumbani sura 182 na sheria ya usimamizi wa teknolojia ya vinasaba vya binadamu sura 732009.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Ndugu Paul Ntinika ametoa wito kwa viwanda ,mashirika wajasiriamali na wananchi kwa ujumla kutumia huduma zinazotolewa na maabara ya mkemia mkuu wa serikali ili kuhakiki ubora wa bidhaa zinazozalishwa viwandani.Mwisho.

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Paul Ntinika (kushoto) pamoja na Mkemia Mkuu wa Serikali (kulia  aliyeshika utepe Profesa Samwel Manyele  kuashiria uzinduzi rasmi wa mtambo wa kisasa wa ED –XRF ajili ya uchunguzi wa kimaabara mkoani mbeya.
Mkemia Mkuu wa Serikali Profesa Samwel Manyele akizungumza katika uzinduzi rasmi wa mtambo wa kisasa kwenye kikao cha uzinduzi wa mtambo wa kisasa wa ED –XRF kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara ,ambapo hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa hospital ya Mkoa jijini Mbeya.
Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Ndugu Paul Ntinika akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mtambo wa kisasa wa ED –XRF  kwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara leo Machi 10 katika hospital ya Mkoa jijini Mbeya.
Wadau kutoka taasisi mbalimbali mkoani mbeya wakiwa katika kikao cha uzinduzi wa mtambo wa kisasa wa ED –XRFkwa ajili ya uchunguzi wa kimaabara.
Meza Kuu katika Picha ya Pamoja na wageni waalikwa.Picha David Nyembe

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MTAMBO WA KISASA WA ED –XRF KWA AJILI YA UCHUNGUZI WA KIMAABARA WAZINDULIWA RASMI MKOANI MBEYA
MTAMBO WA KISASA WA ED –XRF KWA AJILI YA UCHUNGUZI WA KIMAABARA WAZINDULIWA RASMI MKOANI MBEYA
https://3.bp.blogspot.com/-kr-N8a5YKos/WML0GTkTp1I/AAAAAAAAXPk/UL2r-4wZ9JEOQkHEb0uKLn6MSUiDYt_RgCLcB/s640/IMG_0317.JPG
https://3.bp.blogspot.com/-kr-N8a5YKos/WML0GTkTp1I/AAAAAAAAXPk/UL2r-4wZ9JEOQkHEb0uKLn6MSUiDYt_RgCLcB/s72-c/IMG_0317.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mtambo-wa-kisasa-wa-ed-xrf-kwa-ajili-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mtambo-wa-kisasa-wa-ed-xrf-kwa-ajili-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy