MTOTO WA TSHISEKEDI KUONGOZA MUUNGANO WA UPINZANI DR CONGO

Mtoto wa marehemu Etienne Tshisekedi, kiongozi wa upinzani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, amechaguliwa kutwaa wadhifa wa baba yake.

Felix Tshisekedi, 53, sasa ataongoza mazungumzo muhimu ya muungano wa upinzani ya mustakabali wa kuondoka madarakani rais Joseph Kabila.


Chini ya makubaliano yaliyofikiwa mwaka jana, uchaguzi mpya utafanyika mwishoni mwa mwaka 2017, na rais Kabila hatogombea uongozi.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post