MTU ARUKA FENSI YA IKULU YA MAREKANI BILA WALINZI KUGUNDUA

Kikosi cha Kumlinda rais cha Marekani kimetoa taarifa za tukio la wiki iliyopita ambapo mtu mmoja aliruka fensi ya Ikulu na kubainika hatua chache tu karibu na jengo kuu.

Mtu huyo Jonathan Tran, 26, alikuwa ndani ya eneo la Ikulu ya Marekani kwa dakika 16 kabla ya kugundulika na kukamatwa.

Tran sasa anakabiliwa na kifungo kisichozidi miaka 10 jela. Kikosi cah ulinzi wa rais kimesema kimesikitishwa na tukio hilo lililotokea Machi 10.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post