MWALIMU ‘ATINGA’ SHULE AKIWA AMELEWA NA KUKUTANA NA MKUU WA WILAYA

SHARE:

MKUU wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, ameshangazwa na Idara ya Elimu Msingi ya Halmashauri ya Wilaya hiyo kushindwa kumchukulia hatua...

MKUU wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe, ameshangazwa na Idara ya Elimu Msingi ya Halmashauri ya Wilaya hiyo kushindwa kumchukulia hatua aliyekutwa amelewa wakati wa kazi.
Mwalimu huyo, Fikiri Swai wa Shule ya Msingi Kwankonje, anatuhumiwa kufika kazini akiwa amelewa pombe.
Tukio hilo lilitokea juzi shuleni hapo wakati Gondwe alipofika katika mpango wa kusambaza mbegu za mihogo na katika shughuli hiyo, alifika mwalimu huyo na kuanza kusalimia akiwa amelewa chakari.
Kutokana na hali hiyo, Gondwe alitaka kufahamu kama ni mwalimu wa shule hiyo na ndipo alipojibiwa kuwa ndiyo na kuelezwa kuwa
hiyo ni tabia yake ya muda mrefu. Pia ilielezwa kuwa ameshachukuliwa hatua za kinidhamu ikiwamo kusimamishwa kazi.
Baada ya majibu hayo, Gondwe alisema mtumishi wa umma kufika kazini akiwa amelewa au kufanya hivyo muda wa kazi na kwamba kitendo cha mwalimu huyo ni kosa na ameonyesha dharau mbele ya viongozi wa ngazi ya juu ndani ya wilaya.
“Kumbe mmeshamsimamisha sasa kwa nini anakuja shuleni tena akiwa amelewa muda wa kazi? Hamuoni inaleta taswira mbaya kwa wanafunzi kuona hili ni jambo la kawaida? Kwa kweli  sijafurahishwa na hili kabisa,” alisema Gondwe.
Alipoulizwa sababu ya kulewa pombe muda wa kazi, Mwalimu Swai alisema hali hiyo inatokana na kusimamishwa kazi kwa muda mrefu hivyo kumfanya aingie kwenye ulevi na hali hiyo imetokana na uamuzi wake wa kuomba kupandishwa daraja na ndipo ulipoibuka ugomvi kati yake na viongozi.
Swai aliongeza kuwa anashangazwa na kusimamishwa kufundisha huku akitakiwa kuripoti shuleni na kutia  saini kila siku na kuchukua mshahara kila mwezi.
Alisema tangu  mwaka 2013 alisimamishwa kazi na mshahara wake anachukua kama kawaida ila hakuna hatua nyingine za kinidhamu zinazoendelea dhidi yake.
Mratibu wa Elimu Kata,  Nuru Faraji, alisema ni kweli mwalimu huyo amekuwa na tabia ya kulewa muda wa kazi na alishawahi kufanya hivyo hata kwenye kikao kimoja na viongozi wa elimu wa wilaya, hali ambayo ilibidi kutolewa kwenye kikao na kupewa adhabu.
Naye Ofisa Elimu ya Msingi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni, Selemani Mtinda, alisema wanafahamu tatizo la mwalimu huyo na kueleza kuwa kesi yake iko mamlaka inayoshuhulika na walimu, ambayo ndiyo yenye mamlaka na jambo hilo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWALIMU ‘ATINGA’ SHULE AKIWA AMELEWA NA KUKUTANA NA MKUU WA WILAYA
MWALIMU ‘ATINGA’ SHULE AKIWA AMELEWA NA KUKUTANA NA MKUU WA WILAYA
https://1.bp.blogspot.com/-_ro0hfW8yt0/WNZheXqBraI/AAAAAAAAYos/nXSxGTw-pqYAgkX6ZrGueN4fJRLWQyIjQCLcB/s1600/xUNSET-620x375.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-_ro0hfW8yt0/WNZheXqBraI/AAAAAAAAYos/nXSxGTw-pqYAgkX6ZrGueN4fJRLWQyIjQCLcB/s72-c/xUNSET-620x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mwalimu-atinga-shule-akiwa-amelewa-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mwalimu-atinga-shule-akiwa-amelewa-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy