MWANAMKE ABAKWA NDANI YA GARI KWA SAA NNE MWANAE AKILAZWA KIFUDIFUDI

SHARE:

Mjini Johannesburg, mvulana wa miaka 10 alilazimishwa kulala kifudifudi wakati mama yake akibakwa kwa muda wa saa nne katika teksi, hii n...

Mjini Johannesburg, mvulana wa miaka 10 alilazimishwa kulala kifudifudi wakati mama yake akibakwa kwa muda wa saa nne katika teksi, hii ni  kwa mujibu wa ripoti kutoka Afrika kusini.
Mvulana huyo na mama yake wanadaiwa kulaghaiwa kuingia ndani ya gari dogo la abiria (teksi). Baada ya mama na mwanae kuingia ndani ya teksi, mvulana alilazimishwa kulala kifudifudi chini kwenye sakafu ya gari hilo, huku wanaume watatu wakimbaka mama yake. Kabla ya kufanyiwa vitendo hivyo mama aliamrishwa kukabidhi kadi yake ya benki pamoja na namba za siri (PIN) za kadi hiyo, na wanaume hao waliokuwa na bunduki.
Inadhaniwa kuwa kuwa hili lilikuwa ni shambulio la hivi karibuni la genge la majambazi.
Taarifa za kwanza za watu wanaotumia magari kufanya matukio ya ubakaji ziliripotiwa mwaka mmoja uliopita. Kwa mujibu wa rekodi za Roodeport, matukio ya awali ya ubakaji yaliripotiwa mwezi Machi 2016, huku matukio mengine matatu yakifanyika katika kipindi cha wiki ya mwisho ya mwezi Juni. Matukio yote yalifanyika katika eneo la Soweto mjini Johannesburg.
Hata hivyo haijabainika wazi kuwa ni mashambulio mangapi yaliyokwisha kutokea huko katika kipindi cha miezi 12 bila kuripotiwa, na kama yote yalitekelezwa na kundi hilo hilo.
Luteni Kanali Lungelo Dlamini amesema “Kikundi cha wanaume watatu ama wawili waliokuwa wakiendesha magari mawili tofauti ya [Toyota] Quantums, moja la rangi ya kijivu na jingine la rangi nyeupe, yaliwachukua wanawake wawili yakijifanya ni magari ya teksi, wakawapora kwa silaha na baadae kuwabaka.”
Bwana Dlamini amesema kuwa haijabainika wazi kuwa magari hayo ya Quantum yalikuwa yana njama moja ama kila moja lilikuwa linatekeleza uhalifu huo kivyake.
Hadi sasa, wanawake wawili , akiwemo mama wa mvulana huyo , wamekwisha zungumza na vyombo vya habari vya Afrika Kusini, kuelezea kilicho wasibu.
Muathiriwa huyo aliliambia shirika la habari la EyeWitness News kwamba alikuwa anaomba wakati wa tukio hilo wabakaji hao wasimuumize mwanae.
Afrika Kusini ni nchi iliyoripotiwa kuwa na matukio mengi zaidi ya ubakaji duniani.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWANAMKE ABAKWA NDANI YA GARI KWA SAA NNE MWANAE AKILAZWA KIFUDIFUDI
MWANAMKE ABAKWA NDANI YA GARI KWA SAA NNE MWANAE AKILAZWA KIFUDIFUDI
https://4.bp.blogspot.com/-FVJoDovMi4A/WNZiezcAJpI/AAAAAAAAYo4/ULWq6h4gl-wcV5EG0IEvaKdXJGR2h8VUwCLcB/s1600/South-African-Women2-337x220.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-FVJoDovMi4A/WNZiezcAJpI/AAAAAAAAYo4/ULWq6h4gl-wcV5EG0IEvaKdXJGR2h8VUwCLcB/s72-c/South-African-Women2-337x220.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mwanamke-abakwa-ndani-ya-gari-kwa-saa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mwanamke-abakwa-ndani-ya-gari-kwa-saa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy