MWANAMKE ALIPUKIWA NA HEADPHONES AKIWA KWENYE NDEGE

Mamlaka nchini Australia zimeonya uwepo wa hatari ya kutumia vifaa vya elektroniki vinavyotumia nguvu ya umeme wa kwenye betri kwenye ndege baada ya spika za simu ya mwanamke mmoja kumlipukia.

Mwanamke huyo alikuwa amelala kwenye ndege huku akiwa amevaa spika za simu akiwa kwenye ndege iliyokuwa ikitokea Beijing kwenda Melbourne, wakati alipostuswa kutoka usingizini na mlipuko wa spika zilizomuacha na mikwaruzo na rangi nyeusi.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post