MWENYEKITI WA CCM TAWI LA MPARANGE AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI

SHARE:

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la  Mparange na mjumbe wa Serikali ya kijiji cha Ikwiriri Kaskazini ,wilayani Rufiji Mkoani ...

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tawi la  Mparange na mjumbe wa Serikali ya kijiji cha Ikwiriri Kaskazini ,wilayani Rufiji Mkoani Pwani, Michael Lukanda,ameuawa kwa kupigwa risasi kichwani na watu wasiojulikana.
Watu hao  wanadaiwa kuwa ni wawili waliotumia usafiri wa pikipiki ambapo mmoja alimpiga risasi marehemu mlangoni akiwa anataka kuingia nyumbani kwake kisha kutokomea kusikojulikana.
Tukio hilo limefuatia baada ya Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mparange kijijini hapo, Bakari Mpanawe kunusurika kifo baada ya kupigwa risasi ya tumboni na mkononi march 19 mwaka huu.
Aidha, Kamanda wa Polisi  Mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga amekiri kutokea kwa tukio hilo usiku wa kuamkia march 29.
Amesema kuwa tukio hilo ni la tano kutokea ndani ya mwezi huu, likihusisha uhalifu wa kutumia silaha za moto .
“Tunaendelea kuwasaka watu waliohusika na kufanya matukio haya yote ndani ya mwezi huu ili tuweze kuwachukulia hatua za kisheria,” amesema Kamanda Lyanga.
Kwa upande wake, Katibu  wa CCM Wilaya ya Kibiti, Zena Mgaya amesema hali ya usalama sio shwari katika baadhi ya maeneo ya Wilaya  ya Kibiti na Rufiji kijumla.
Zena amesema kuwa, matukio ya aina hiyo yanawasababishia  kuishi kwa hofu pasipo na amani  na wanachama wa CCM kuhofia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika chaguzi zijazo za chama na Serikali za vijiji na vitongoji.
Kwa upande wake, Diwani wa kata ya Dimani, Ramadhani Manyema amesema kuwa kuna wenyeviti wa vitongoji na vijiji vinne wamekimbia miji  yao wakihofia maisha yao .
Hata hivyo, Manyema amesema kuwa kukimbia maeneo yao ya kazi kumetokana na kutokea matukio ya hivi karibuni ambapo Mwenyekiti wa kijiji cha Nyambonda pamoja na Wenyeviti wa vitongoji viwili na Mtendaji wa Kijiji hicho kupigwa risasi, ameyataja maeneo mengine ambayo yamekuwa matukio kama hayo ni Jaribu Mpaka ambako OC CID na Mgambo wa Maliasili walipigwa risasi na kufariki.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWENYEKITI WA CCM TAWI LA MPARANGE AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI
MWENYEKITI WA CCM TAWI LA MPARANGE AFARIKI KWA KUPIGWA RISASI
https://2.bp.blogspot.com/-nB9_y8eaSGs/WNy1axLBEXI/AAAAAAAAY4g/tacfvlOUnRstNwDMsUn0dayVOZOHa0sOACLcB/s1600/Bastola.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-nB9_y8eaSGs/WNy1axLBEXI/AAAAAAAAY4g/tacfvlOUnRstNwDMsUn0dayVOZOHa0sOACLcB/s72-c/Bastola.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/mwenyekiti-wa-ccm-tawi-la-mparange.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/mwenyekiti-wa-ccm-tawi-la-mparange.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy