NDEGE MBILI ZAGONGANA ANGANI CANADA

Ndege mbili ndogo aina ya aina ya Cessnas kutoka shule moja ya ufunzi wa urubani zimegongana huko Canada, katika anga ya eneo la shughuli za kibiashara na kuanguka. Mtu mmoja amefariki na wengine watatu wamejeruhiwa vibaya katika ajali hiyo.
Polisi walisema kuwa ndege hizo kila moja ilikuwa na rubani mmoja.
Ndege moja ilianguka katika egesho la magari, na nyingine ikaanguka juu ya paa la mojawapo ya maduka makubwa ya eneo hilo nje kidogo mwa mji wa Montreal.
Wreckage from a plane crash sits in a parking lot in Saint-Bruno, Quebec
Mashahidi walisema kuwa walisikia kishindo kikubwa na mtu mmoja akapiga kelele kuwa watoke nje ndipo walipoona ndege iliyokuwa imeharibika kabisa.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post