NECTA YABORESHA MFUMO WA MAWASILIANO KUWABAINI WANAOTUMIA VYETI FEKI

SHARE:

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linaendelea kuwatangazia wananchi  kuendelea kuwapa ushirikiano kwa kutoa taarifa mbalimbli ikiwem...

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) linaendelea kuwatangazia wananchi  kuendelea kuwapa ushirikiano kwa kutoa taarifa mbalimbli ikiwemo taarifa  kuhusu watumishi walioghushi au kutumia vyeti vya watu wengine. 
Tangazo hilo limetolewa na NECTA kupitia mtandao wake www.necta.go.tz hatua  ambayo inaendeleza juhudi za kuwafichua watumishi ambao wanatumia vyeti  ambavyo sio vyao. 
Kwa mujibu wa tangazo hilo NECTA imewataka wananchi wenye malalamiko au  taarifa kuhusu watumishi walioghushi au kutumia vyeti vya watu wengine  kuwasiliana nao kupitia barua pepe esnecta@necta.go.tz au simu namba +255  742 484 955. 
Wananchi wametakiwa kufikisha malalamiko au taarifa hizo kwa kuzingatia  muda wa saa za kazi kuanzia saa 2:30 Asubuhi hadi 10:30 jioni kuanzia  Jumatatu hadi Ijumaa. 
Aidha, tangazo hilo limesisitiza kuwa kwa msaada zaidi wananchi wawasiliane  nao kupitia barua pepe helpdesk@necta.go.tz au simu namba 0658 116 644 kwa  saa za kazi. 
Tangazo hilo linaendelea kutoa msisitizo kufuatia agizo la Rais wa Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli alilolitoa kwa Wakuu  wa Mikoa Machi 15, 2016 la kuhakiki watumishi wa Umma na kuwaondoa  watumishi hewa ambao wamekuwa mzigo kwa Serikali yake. 

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NECTA YABORESHA MFUMO WA MAWASILIANO KUWABAINI WANAOTUMIA VYETI FEKI
NECTA YABORESHA MFUMO WA MAWASILIANO KUWABAINI WANAOTUMIA VYETI FEKI
https://1.bp.blogspot.com/-zlIdMWHitTI/WLwlpRxbqLI/AAAAAAAAXbI/5YhThePzBYA6e3seVNGrBM-K1LwnBO42wCLcB/s1600/baraza-la-mitihani.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-zlIdMWHitTI/WLwlpRxbqLI/AAAAAAAAXbI/5YhThePzBYA6e3seVNGrBM-K1LwnBO42wCLcB/s72-c/baraza-la-mitihani.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/necta-yaboresha-mfumo-wa-mawasiliano.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/necta-yaboresha-mfumo-wa-mawasiliano.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy