NGASSA AWAITA YANGA TAIFA

SHARE:

WAKATI Kocha wa Yanga, Mzambia George Lwandamina, akituma ujumbe kwa wachezaji wake, nyota wa zamani wa timu hiyo, Mrisho Ngassa, leo anaw...

WAKATI Kocha wa Yanga, Mzambia George Lwandamina, akituma ujumbe kwa wachezaji wake, nyota wa zamani wa timu hiyo, Mrisho Ngassa, leo anaweza kuwapa bonge la zawadi mashabiki wa Jangwani pale atakapoivaa Simba akiwa na Mbeya City.

Ngassa akiwa na kikosi cha Mbeya City, leo watamenyana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Iwapo Ngassa ataisaidia timu yake hiyo kuichapa Simba leo, atakuwa ameisaidia mno Yanga kuelekea mbio za ubingwa wa ligi hiyo, hali ambayo ni wazi itapeleka furaha Jangwani.
Watu wa Yanga kwa sasa wanaombea Simba iteleze katika mechi zake, ikiwamo ya leo, ili waweze kuwapiku kileleni mwa ligi hiyo na hivyo kuwa na uwezekano mkubwa wa kulibakiza kombe Jangwani.
Katika msimamo wa ligi, Simba wanawazidi Yanga kwa pointi mbili, hivyo iwapo Wekundu wa Msimbazi hao watapoteza leo na wenzao kushinda kesho dhidi ya Mtibwa, ni wazi kuwa ubingwa unaweza kubaki Jangwani.
Na kwa kiasi kikubwa, matumaini ya watu wa Yanga kwa Mbeya City kuisimamisha Simba leo yanabaki kwa Ngassa, ambaye ni mchezaji mzoefu mwenye kila aina ya mbinu za kimchezo.
Wakati hayo yakiendelea, Lwandamina amesema kuwa ni ngumu kwa mchezaji kufikia malengo ikiwa atapuuzia suala la nidhamu.
Kocha huyo alitoa ujumbe huo jana kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa Facebook.
“Nidhamu na utii ndiyo siri ya mafanikio kwa kila mchezaji. Kuelewa na kufanya kazi yako kwa nidhamu ni muhimu katika kila mchezo, hasa kwenye wa soka, tena pindi kila timu inapokuwa na wachezaji 11… Ni vitu vichache (mbinu na juhudi) vinavyokusaidia kufanya kazi yako na kuleta tofauti kati ya kushinda na kupoteza mechi,” aliandika kocha huyo.
Mzambia huyo aliongeza kuwa, ili mchezaji aweze kufanikiwa kimaisha au kitaaluma, lazima azingatie akili, hisia, tabia na vitendo chanya.
Alisema kujiheshimu si kitu kipya, ni jambo ambalo limekuwa likizungumziwa miaka mingi, limekuwa likipewa sifa na watu waliofanikiwa.
Lwandamina aliongeza: “(Mwanafalsafa) Aristotle aliwahi kusema: ‘Tabia njema ambayo huundwa wakati wa utoto ndiyo kila kitu’.”
Lwandamina alitua Yanga mwishoni mwa mwaka jana kuchukua nafasi ya Hans van der Pluijm na kocha huyo alisaini mkataba wa miaka miwili.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NGASSA AWAITA YANGA TAIFA
NGASSA AWAITA YANGA TAIFA
https://3.bp.blogspot.com/-ndqPszEpV6g/WLrM2fIIc0I/AAAAAAAAXVw/O2AyVhw65bog9svIplqXwqQ5MWpOprPTwCLcB/s1600/Mrisho.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-ndqPszEpV6g/WLrM2fIIc0I/AAAAAAAAXVw/O2AyVhw65bog9svIplqXwqQ5MWpOprPTwCLcB/s72-c/Mrisho.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/ngassa-awaita-yanga-taifa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/ngassa-awaita-yanga-taifa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy