NILLAN AFANANA NA MUME WA ZARI WA ZAMANI,MAMA DIAMOND AMUHOJI ZARI

SHARE:

Kuna madai kutoka ndani ya familia ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuwa, mama mzazi wa staa huyo, Sandra Kasim ‘Sanura’ hivi kari...

Kuna madai kutoka ndani ya familia ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuwa, mama mzazi wa staa huyo, Sandra Kasim ‘Sanura’ hivi karibuni alifanya kikao kizito na mkaza mwanae, Zarinah Hassan ‘Zari’ kufuatia picha za mtalaka wake, Ivan Semwanga na mtoto wa pili wa Diamond, Nillan ambaye Zari ni mama yake mzazi, kutupiwa mitandanoni na watu kusema wamefanana.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, nia ya mama Diamond ilikuwa ni kutaka kujua nini kimefichika kati ya Zari na Ivan mpaka kunakuwa na ujasiri wa kutupiwa picha za Nillan akiwa sambamba na yeye na Diamond pia.

“Unajua mama siku zote ni mzazi mwenye uchungu sana. Sasa Ivan anachukua picha ya Nillan, anajiunganisha na yeye na Diamond anakuwa pembeni kisha  anatupia kwenye mitandao, watu wanachangia, wanasema mtoto kafanana sana na jamaa huyo.

“Mama anajisikia vibaya, anahisi kama kuna kitu, huenda Zari anakijua hivyo ikabidi amuweke kikao na kumuuliza nini kimefichika baina yao?” kilisema chanzo hicho huku kikiomba hifadhi ya jina. Ikazidi kudaiwa kuwa, katika kikao hicho, mama Diamond alikumbusha kuwa, hii si mara ya kwanza kwa picha za Ivan kuwekwa mitandanoni kwani Zari alipojifungua Latifah ‘Tiffah’ mwaka juzi,  pia picha zake na Ivan ziliwekwa mtandaoni na watu wakaanza kutupia maoni kuwa, wawili hao kama mapacha kabisa!

Hata hivyo, chanzo hicho hakikuweza kuweka wazi majibu ya Zari yalikuwa yapi, lakini kufuatia picha hizo, watu wamekuwa wakiweka maoni wakishauri Diamond kujiongeza kwa kusema kuwa, lisemwalo lipo kama halipo linakuja, inakuwaje picha za watoto wake ziwe gumzo kila Zari anapojifungua? Ili kupata ukweli wa madai ya kikao hicho, Amani juzi lilimtafuta mama Diamond kwa njia ya simu ili kumsikia anasemaje kuhusu hilo lakini baada ya kupokea simu na Amani kujitambulisha kwake, alikata simu.

Amani likampigia mara kadhaa likiamini kuwa, huenda simu ilikatika kwa bahati mbaya au alikuwa sehemu mbaya, lakini mama huyo hakupokea wala kujibu meseji aliyotumiwa ikiwa na maelezo yote.

Amani liliongea na Diamond na kumuuliza picha za Ivan, Nillan, Tiffah na yeye kutupwa mtandaoni na watu kusema wamefanana na jamaa huyo aishiye nchini Afrika Kusini ambapo alisema yeye ni baba na ndiye anayejua ukweli.

“Mimi ndiye baba, ndiye ninayejua ukweli wa watoto wale. Sipendi kujibu haya mambo kwa sababu nikijibu  nitakuwa nampa kiki mtu mwingine bila sababu ya msingi. Kwa nini nimpe kiki mwingine? Ndiyo maana nakaa kimya tu lakini ukweli naujua mwenyewe,” alisema Diamond.

Kumekuwa na maneno ya chini kwa chini kutoka kwa watu mbalimbali wakitilia shaka ukaribu wa Ivan na Zari, wengine wakisema bado upo kwa sababu ya watoto, wengine wakisema upo kwa maana ya mapenzi. Ivan na Zari wameshazaa watoto watatu ambao ni Pinto, Didy na Quincy.

Jumla kwa sasa, Zari ana watoto watano, wa kike mmoja.  Madai mengine ambayo yanachipuka kwa kasi ni ndoa ya Ivan na Zari kama iliwahi kuvunjika kisheria ambapo baadhi ya watu wanasema huenda Diamond akawa anaingizwa chaka kwani kama hakuna talaka, kisheria Tiffah na Nillan pia ni watoto wa Ivan, lakini Diamond aliwahi kusema kuwa, Zari yupo singo na hana pingamizi ya kuwa na yeye na ndoa yao itafungwa hivi karibuni.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NILLAN AFANANA NA MUME WA ZARI WA ZAMANI,MAMA DIAMOND AMUHOJI ZARI
NILLAN AFANANA NA MUME WA ZARI WA ZAMANI,MAMA DIAMOND AMUHOJI ZARI
https://1.bp.blogspot.com/-U2-i9N0Mijs/WLgEgSyI2GI/AAAAAAAACkc/owapklICc1k_nDCkZhNfvi2zpY7uh8LLwCLcB/s640/carrymastory-20170302-0001.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-U2-i9N0Mijs/WLgEgSyI2GI/AAAAAAAACkc/owapklICc1k_nDCkZhNfvi2zpY7uh8LLwCLcB/s72-c/carrymastory-20170302-0001.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/ninal-afanana-na-mume-wa-zari-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/ninal-afanana-na-mume-wa-zari-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy