NITAHAKIKISHA SHULE ZOTE ZA MAFINGA MJINI ZINAKUWA KATIKA UBORA UNAOTAKIWA: COSATO CHUMI

SHARE:

MBUNGE  wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi madawti kwa viongozi wa kata ya sao hill kwa ajili ya matumizi ya shule    MB...

MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akikabidhi madawti kwa viongozi wa kata ya sao hill kwa ajili ya matumizi ya shule 
 MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi akipongezwa na viongozi wa kata ya sao hill kwa jitihada wanazozifanya kuleta maendeleo katika jimbo la mafinga mjini 
 
 Chumi alikabidhi mabati 80 kwa ajili ya kupauwa majengo hayo,mifungo
10 ya saruji,madawati 150 kwa shule za msingi za Ifingo na Kinyanambo
Na Fredy Mgunda,Mafinga.
 
MBUNGE wa jimbo la mafinga mjini Cosato Chumi ameendelea kutatua changamoto mbalimbali
za jimbo hilo kwa kufanya ziara kwenye baadhi ya shuleza msingi zilizopo katika
mjini wa mafinga na kukagua baadhi ya miundombinu inayoendelea kukarabatiwa kwa
lengo la kuendelea kutoa huduma bora kwa wananchi wake.


Katika
ziara hiyo Chumi alikabidhi mabati 80 kwa ajili ya kupauwa majengo hayo,mifungo
10 ya saruji,madawati 150 kwa shule za msingi za Ifingo na Kinyanambo ambayo
yalitolewa na wakala wa shamba la miti Sao Hill huku chama cha mapinduzi CCM
wilaya ya Mafinga Mji kupitia mwenyekiti wake  Yohanes Cosmas
wakichangia mifuko 10 ya saruji kwa ajili ya kuunga mkono jitihada za mbunge za
kukamilisha ujenzi wa miundombinu hiyo.


Katika
hatua nyingine mbunge huyo alitembelea jengo jipya la ukumbi wa kisasa
lililojengwa na kikundi cha Agape group ambalo lipo kwenye kata ya
Kinyanambo kwa lengo la kuinua kipato cha halmashauri hiyo.


Baada
ya mbunge kuona jitihada hizo alichangia 300,000 huku chama cha mapinduzi (CCM)
wilaya ikichangia 100,000 kwa ajili ya kumalizia ujenzi huo.  
Shule ya Msingi Ifungo iliyopo wilayani Mafinga
inakabiliwa na changamoto ya miundombinu ikiwamo Umeme,maji ya bomba,
madawati na nyumba za walimu jambo ambalo limedaiwa kuwa kukosekana kwa umeme
limesababisha wanafunzi kushindwakufaulu vizuri.


 Kilio
hicho kimetolewa mwishoni mwa wiki na walimu mkuu wa shule hiyo Tedy Captein
wakati akizungumza mbele ya mbunge wa jimbo hilo Cosato Chumi (CCM)
wakati mbunge huyo akiwa kwenye ziara ya kutembelea miradi ya maendeleo ya
jimbo hilo.
Mwalimu
Captein alisema baada ya rais John Magufuli kutoa elimu bure wanafunzi
wameongezeka na hivyo wanahitaji maji safi ya bomba badala ya kuelendela
kutumia  maji ya tanki ambayo sio rafiki sana kwa wanafunzi hao.
Hata
hivyo kutokana na ongezeko la wanafunzi wananchi wameamua kutumia nguvu kazi
yao kwa kujenga jengo la darasa moja pamoja na ofisi ya mwalimu kwa gharama y
ash.Mil. sita hadi kufikia kwenye lenta lakini walishindwa kumalizia.
Akijibu
kilio cha shule hiyo kuhusu umeme mbunge Chumi alianza kwa kusema
“Tutazungumza na shirika la umeme tanesco ili waweze kutuletea umeme ambao
utasaidia kuongeza ufaulu wa wanafunzi wa shule hii.”alisema Chumi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NITAHAKIKISHA SHULE ZOTE ZA MAFINGA MJINI ZINAKUWA KATIKA UBORA UNAOTAKIWA: COSATO CHUMI
NITAHAKIKISHA SHULE ZOTE ZA MAFINGA MJINI ZINAKUWA KATIKA UBORA UNAOTAKIWA: COSATO CHUMI
https://2.bp.blogspot.com/-pl_wvNfjEM0/WMjIuLnDdAI/AAAAAAAAX8o/R3a3GHY1iooAq_Bd5AUjXJ6eXfj_6LdVACLcB/s1600/SHU.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-pl_wvNfjEM0/WMjIuLnDdAI/AAAAAAAAX8o/R3a3GHY1iooAq_Bd5AUjXJ6eXfj_6LdVACLcB/s72-c/SHU.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/nitahakikisha-shule-zote-za-mafinga.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/nitahakikisha-shule-zote-za-mafinga.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy