NJAMA ZA KUMHUJUMU LISSU UCHAGUZI TLS ZABAINIKA. WAZIRI MWAKYEMBE ADAIWA KUHUSIKA

SHARE:

Siku chache baada ya Waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe kutishia kukifuta Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kwa madai ku...

Siku chache baada ya Waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe kutishia kukifuta Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kwa madai kuwa kimesahau misingi yake ya kazi na kuanza kujishughulisha na siasa, kesi ya kupinga uchaguzi wa chama hicho imefunguliwa.
Kesi hiyo imefunguliwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma ambapo mlalamikaji ni Godfrey Sabato John Wasonga dhidi ya TLS na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Wasonga anaitaka mahakama ihairishe uchaguzi wa TLS hadi hapo Bunge litakapokutana mapema mwezi ujao kuweza kubadili kanuni zinazoongoza chama hicho.Kwa taarifa za wadau kutoka kwenye mitandao ya kijamii zinadai kuwa hii ni njama ya Waziri Mwakyembe kumkwamisha Tundu Lissu kugombea urais wa TLS.
Waziri Mwakyembe hivi karibuni amenukuliwa akisema kuwa tatizo kubwa ni mtu mwenye kofia ya uongozi kwenye chama cha kisiasa kugombea urais wa TLS. Miongoni mwa wagombea ni Tundu Lissu ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA ambapo tayari ana kofia ya uongozi kwenye chama cha siasa.
Aidha, inadaiwa kuwa, mabadiliko yanayotarajiwa kufanywa na Bunge kuhusu TLS ni kuzuia kiongozi wa chama cha siasa kuwania urais wa TLS.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: NJAMA ZA KUMHUJUMU LISSU UCHAGUZI TLS ZABAINIKA. WAZIRI MWAKYEMBE ADAIWA KUHUSIKA
NJAMA ZA KUMHUJUMU LISSU UCHAGUZI TLS ZABAINIKA. WAZIRI MWAKYEMBE ADAIWA KUHUSIKA
https://1.bp.blogspot.com/-GXaul1nnbU4/WMECHcgpWmI/AAAAAAAAXpQ/wk61K8eetKEeBPTjG1N87kAuHurytu_ngCLcB/s1600/Tundu-Lissu-April21-2014.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-GXaul1nnbU4/WMECHcgpWmI/AAAAAAAAXpQ/wk61K8eetKEeBPTjG1N87kAuHurytu_ngCLcB/s72-c/Tundu-Lissu-April21-2014.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/njama-za-kumhujumu-lissu-uchaguzi-tls.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/njama-za-kumhujumu-lissu-uchaguzi-tls.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy