NYOKA NUSURA AZUE KIZAA ZAA KWENYE NDEGE BAADA YA KUTOROKA

Nyoka nusura azue kizaa zaa kwenye ndege baada ya kuchomoka kwenye mzigo wa mmoja wa abiria katika ndege iliyokuwa ikielekea Anchorage, Alaska.

Nyoka huyo aliachwa na mwenyewe ambaye alikuwa amebeba nyoka kadhaa wa kufugwa katika safari yake.

Abiria walielezwa juu ya uwepo wa nyoka huyo kwenye ndege na rubani, na kuambiwa kuwa nyoka huyo alikuwa hana madhara yoyote.

Nyoka huyo wa njano mwenye urefu wa futi sita alionekana na mtoto mmoja ambaye alipanda juu ya kiti.

                                          Muhudumu wa ndege akiwa amemshika nyoka huyo
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post