OFFICIALVIDEO: NUH MZIWANDA – ANAMEREMETA

Hitmaker wa ngoma ya Jike Shupa, Nuh Mziwanda, siku chache zilizopita alidropisha goma lake jipya ambalo alilipa jina la Anameremeta.
Usiku wa jana March 28 mkali huyo alitangaza rasmi kukiachia kichupa cha ngoma hiyo, na nimeona sio kesi kama nitakisogeza hapa karibu yako ukaweza kuenjoy nacho.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post