OFFICIALVIDEO: SKALES FT TEKNO – GIVE ME LOVE

Kutoka Nigeria, vimekutana vichwa viwili vikali vya muziki nchini humo na kutengeneza bonge moja la ngoma ambalo wamelipachika jina la Give Me Love.
Ni Skales hitmaker wa Shake Body akiwa kamshirikisha sukari ya warembo Tekno Milles. Nimeileta official video ya ngoma hiyo ili uweze kuisanukia faster kama upepo kwa kubonyeza play kwenye video hii hapa chini.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post