PICHA AJALI: MABASI HAPPY NATION NA ABOOD YAGONGANA NA LORI, YAPINDUKA MLIMA KITONGA

Watu 12 wamejeruhiwa baada ya mabasi mawali ya Happy Nation na Abood kugongana na lori la mizigo na kupinduka katika Mlima Kitonga mkoani Iringa.
Taarifa rasmi kutoka kwa Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto Mkoa wa Iringa Kamanda Kenedy Komba akiwa eneo la tukio ametihibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akielezea kuwa  taarifa za awali majeruhi ni 12 na kati ya hao  majeruhi watatu wamekimbizwa hospitali ya Rufaa mkoa wa Iringa kwa matibabu zaidi, hakuna vifo vilivyotokea katika ajali hiyo.
Hadi sasa hakuna mtu aliyeripotiwa kufariki kutokana na ajali hiyo.JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post