PICHA: MUONEKANO MPYA WA WIZKID BAADA YA KUWEKA BLEACH NYWELE ZAKE!

Mkali wa muziki nchini Nigeria, Ayodeji Ibrahim ‘Wizkid’ ameamua kubadilisha muenekano wake wa nywele. Msanii huyo wa Nigeria ambaye amekuwa na mafanikio makubwa kwa sasa baada ya kufanikiwa kutoboa Marekani na nchi nyingine za Ulaya, ameamua kuweka rangi (breach) kwenye nywele zake.
Huo ni monekano wa tofauti kwa mashabiki ambao hawajawahi kumuona muimbaji huyo akifanya hivyo.

Tazama picha zaidi hapa chini.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post