PICHA: NYUMBA YA MCHEKESHAJI TREVOR NOAH (TZS BILIONI 22) JIJINI NEW YORK MAREKANI

Mwendesha kipindi marrufu nchini Marekani cha The Daily Show, Trevor Noah, mwenye asili ya Afrika Kusini amenunua nyumba kubwa ya kifahari huko New York.
Nyumba hiyo yenye futi za mraba 3,596 iko katika ghorofa ya 17 na 18 ya jengo la Midtown Manhattan. Kabla hajanunua nyumba hiyo, Noah alikuwa akiishi kwenye nyumba ya kupanga yenye vyumba viwili kwenye jengo hilo hilo ambapo alikuwa akilipa kodi ya nyumba ya kiasi cha dola za Kimarekani 15,000 (TZS 3.3 milioni) kwa mwezi.
Nyumba hiyo mpya ina mandhari ya kuvutia, ikiwa imejengwa kwa mtindo wa kisasa kabisa na kuwa na sehemu kubwa hasa katika mji kama New York.
Ila inaonekana kuwa, eneo ilipo nyumba hiyo ilikuwa kigezo kikubwa cha Noah kuamua kuinunua, kwani ikombali kwa kiasi cha majengo manne tu kutoka ilipo studio yake mtaa wa 11.
Hapa chini ni picha za muonekano wa jengo hilo la kuvutia.
The penthouse is located in Stella Tower, a former telephone building in the Hell's Kitchen neighborhood of Manhattan.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post