PICHA: WAZIRI MAKAMBA AKINYOA NYWELE KABLA YA KUANZA ZIARA WILAYANI MWANGA, K’NJARO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira na Mbunge wa Jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga, January Makamba akinyoa nywele mapema leo asubuhi katika  Kijiji cha Mgagau, Kata ya Mgagau, Wilaya ya Mwanga, Mkoa wa Kilimanjaro wakati akiendelea na ziara ya mazingira katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania.
Waziri Makamba yupo mkoani Kilimanjaro ambapo alifika akitokea Tanga na Pwani ambapo kote amepita ikiwa ni ziara ya mazingira inayolenga  kutambua changamoto za kimazingira katika mikoa hiyo na kuweka mikakati sahihi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.
Waziri Makamba alikwenda kunyoa nywele mapema leo asubuhi kabla ya kuanza ziara ya mazingira wilayani humo ambapo akimaliza ziara katika Mkoa wa Kilimanjaro, anatarajia kwenda jijini Arusha.
Hapa chini ni picha sita za Waziri Makamba akinyoa nywele wilayani Mwanga.
WhatsApp Image 2017-03-25 at 10.08.37 AMWhatsApp Image 2017-03-25 at 10.08.43 AMWhatsApp Image 2017-03-25 at 10.09.19 AMWhatsApp Image 2017-03-25 at 10.09.46 AMWhatsApp Image 2017-03-25 at 10.10.11 AMWhatsApp Image 2017-03-25 at 10.13.17 AM

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post