PIERRE-EMERICK AUBAMEYANG ATUPIA HAT-TRICK NA KUIZAMISHA BENFICA

Pierre-Emerick Aubameyang amefunga magoli matatu wakati Borussia Dortmund ikiichakaza Benfica kwa magoli 4-0 na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Wenyeji wa Borussia Dortmund walikuwa nyuma kwa goli 1-0 waliofungwa katika mchezo wa awali, walisawazisha matokeo kupitia kwa Aubameyang katika dakika ya nne kwa kichwa.

Dortmund waliongeza la pili kupitia kwa Christian Pulisic, kisha baadaye Aubameyang aliyekosa penati mchezo wa kwanza akaongeza la tatu na kufunga la nne dakika ya 85.
                      Pierre-Emerick Aubameyang akifunga goli la kwanza kwa mpira wa kichwa

                      Pierre-Emerick Aubameyang akiendeleza mvua yake ya magoli hapo jana
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post