RAIS DONALD TRUMP AMPIGIA SIMU RAIS UHURU KENYATTA

Rais Donald Trump amempigia simu rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ikiwa ni simu yake ya nne kupiga kwa kiongozi wa taifa la Afrika tangu aingie madarakani.

Katika maongezi yao yaliyofanyika jana mchana, viongozi hao wameahidi kuimarisha ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili.

Simu ya kwanza ya Trump kwa kiongozi wa Afrika ilikuwa ni baina yake na rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ambapo walizungumzia masuala ya tatizo la ugaidi.


JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post