RASENBALLSPORT LEIPZIG KUJA NA TAARIFA KAMILI YA NABY KEITA

SHARE:

Kiungo Naby Keita anayefikiriwa huenda akaziingiza vitani klabu za Liverpool na Arsenal katika soko la usajili mwishoni mwa msimu huu,  m...

Kiungo Naby Keita anayefikiriwa huenda akaziingiza vitani klabu za Liverpool na Arsenal katika soko la usajili mwishoni mwa msimu huu,  mwishoni mwa juma alikimbizwa hospitali baada ya kupoteza fahamu akiwa uwanjani katika mchezo wa ligi ya nchini Ujerumani kati ya RasenBallsport Leipzig dhidi ya Wolfsburg.
Keita alipoteza fahamu baada ya kucheza dakika 90 za mchezo huo, na sekunde chache baadae alilazimika kukimbizwa hospitali kutokana na mwili wake kukosa nguvu, hali iliyosababisha apoteze fahamu.
Taarifa zilizotolewa na klabu yake ya RasenBallsport Leipzig zimeeleza kuwa alipofikishwa hospitalini, hali yake ilifanikiwa kurejea na alipatiwa matibabu kwa saa kadhaa.
Hata hivyo, uongozi wa klabu hiyo inayoshika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi ya nchini Ujerumani kwa tofauti ya pointi 10 dhidi ya vinara FC Bayern Munich, umeahidi kutoa taarifa kamili kuhusu Keita siku kadhaa zijazo.
Keita amekuwa na msimu mzuri, jambo ambalo limeongeza ushindani wa saini yake kusakwa kwa udi na uvumba. Tayari meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp ameripotiwa kutenga kiasi cha Pauni milioni 30 kwa ajili ya kumnyakua.
Klabu nyingine ya England inayotajwa kumuwania kiungo huyo kutoka Guinea ni Arsenal ya kaskazini mwa jijini London, lakini bado haijaelelezwa imetenga kiasi cha Pauni ngapi ili kufanikisha mpango huo.
Klabu nyingine zinazoripotiwa kumuwania Keita ni FC Bayern Munich, Borussia Dortmund na Atletico Madrid.
Keita alijiunga na RasenBallsport Leipzig mwezi Juni mwaka 2016, akitokea nchini Uswiz alipokuwa akiitumikia klabu ya Red Bull Salzburg.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RASENBALLSPORT LEIPZIG KUJA NA TAARIFA KAMILI YA NABY KEITA
RASENBALLSPORT LEIPZIG KUJA NA TAARIFA KAMILI YA NABY KEITA
https://2.bp.blogspot.com/-lFPfc9byDsQ/WMeFfBHiJQI/AAAAAAAAX3k/uN-okW7WZOoYZWEk0m5lJ9lI8y7m5nbywCLcB/s1600/Naby-Keita.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-lFPfc9byDsQ/WMeFfBHiJQI/AAAAAAAAX3k/uN-okW7WZOoYZWEk0m5lJ9lI8y7m5nbywCLcB/s72-c/Naby-Keita.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/rasenballsport-leipzig-kuja-na-taarifa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/rasenballsport-leipzig-kuja-na-taarifa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy