RC PWANI AHIMIZA KILIMO ILI KUJIEPUSHA NA BAA LA NJAA

SHARE:

Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji MKUU wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo, amehimiza kupanda mazao yanayostahimili ukame na kukomaa hara...

Na Mwamvua Mwinyi,Rufiji
MKUU wa mkoa wa Pwani, mhandisi Evarist Ndikilo, amehimiza kupanda mazao yanayostahimili ukame na kukomaa haraka ikiwa ni sanjali na muhogo, mtama, viazi vitamu na kunde.
Amesema wakati mvua zikiendelea kunyesha haina budi watu wakalima mazao hayo ili kujiepusha na baa la njaa ambalo huwa likijitokeza katika baadhi ya maeneo.
Mhandisi Ndikilo, ameeleza hayo katika ziara yake aliyoianza mkoani hapo kutembelea wilaya sita kujionea hali ya mazao mbalimbali ya Kilimo na kuhamasisha Kilimo. 
“Kipindi hiki hali ya hewa sio nzuri sana na utabiri wa hali ya hewa ulitabiri hakutokuwa na mvua za vuli za kutosha na ilitokea”
“Na za masika zinavyoonekana zitakuwa chini ya wastani hivyo tusipojipanga na Kilimo na kutokuwa waangalifu tutatumbukia kwenye njaa “alisema mhandisi Ndikilo. 
Mhandisi Ndikilo alisisitiza kulima mazao yanayostahimili ukame ili kuwa na chakula cha kutosha.
 Hata hivyo, aliambiwa na wakazi wa Mbwara wilayani Rufiji kuwa mihogo wanalima lakini tatizo ni wanyama kama ngedere, nguruwe ambao wanaharibu na kula mazao.
Mkuu huyo wa mkoa wa Pwani alisema, watumie maafisa maliasili wilaya kwa kuandika barua maalum kwa Mkurugenzi wa halmashauri na wataalam watakwenda kutatua tatizo hilo. 
Mhandisi Ndikilo akiwa wilaya ya Rufiji, alikagua ghala jipya la Ikwiriri AMCOS ,kukagua mashamba ya mihogo kijiji cha Mbwara. 
Pia alitembelea mradi wa ujenzi wa nyumba za walimu Mbwara sekondari na kuzungumza na waandishi. Mhandisi Ndikilo ameendelea na ziara yake wilaya ya Kibiti na march 22 atakuwa Mkuranga

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RC PWANI AHIMIZA KILIMO ILI KUJIEPUSHA NA BAA LA NJAA
RC PWANI AHIMIZA KILIMO ILI KUJIEPUSHA NA BAA LA NJAA
https://3.bp.blogspot.com/-ZVs_SyzLCfw/WNEQrIpbsCI/AAAAAAAAYUk/g9tW9Sjv-5ADKva7q4auNTRkvoyDKVhYACLcB/s1600/DKI.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-ZVs_SyzLCfw/WNEQrIpbsCI/AAAAAAAAYUk/g9tW9Sjv-5ADKva7q4auNTRkvoyDKVhYACLcB/s72-c/DKI.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/rc-pwani-ahimiza-kilimo-ili-kujiepusha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/rc-pwani-ahimiza-kilimo-ili-kujiepusha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy