ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA ULAYA, LEICESTER CITY MIKONONI MWA ATLETICO MADRID, BAYERN USO KWA USO NA REAL MADRID

Hatimaye Shirikisho la kandanda barani Ulaya ( UEFA ) limetoa ratiba ya hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa barani humo ambayo inashirikisha jumla ya timu nane ( 8 ) zilizofanikiwa kutinga hatua hiyo.

Katika ratiba ya hatua hiyo iliyotolewa leo, inaonyesha mabingwa watetezi wa ligi kuu England, Leicester City watasafiri kuwafuata wenyeji wao Atletico Madrid nchini Hispania katika mchezo wa awali utakaochezwa tarehe 12 mwezi wa nne kabla ya mchezo wa marudiano utakaochezwa April 17' 2017.

Atletico Madrid (Spain) v Leicester City (Eng)

Borussia Dortmund (Germany) v Monaco (France)

Bayern Munich (Germany) v Real Madrid (Spain) 

Juventus (Italy) v Barcelona (Spain)
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post