RUBANI AKUTWA AKIWA AMELEWA CHAKARI MUDA MCHACHE KABLA YA KURUSHA NDEGE

Rubani aliyekutwa akiwa amelewa kwenye chumba cha kuongozea ndege kabla ya kuanza safari nchini Canada amekiri kosa la kuzidi na kilevi.

Rubaini huyo Miroslav Gronych alikutwa akiwa amelala kwenye kiti cha rubani huku alama za urubani kwenye sare yake zikiwa zimegeuzwa juu chuni.


Baada ya kufanyiwa kipimo cha kilevi, imebainika kuwa rubani Gronych alikuwa amezidisha mara tatu kiwango cha pombe mwilini.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post