SALAMU ZA NAY WA MITEGO KWA VANESSA MDEE ALIYEKO MAHABUSU

Mwanamuziki Nay wa Mitego amemtumia salamu za pole mwanamuziki mwenzake, Vanessa Mdee anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa siku ya tano leo kwa tuhuma za kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Vanessa Mdee amekuwa akishikiliwa na Polisi tangu alipokwenda kujisalimisha kufuaia kutajwa katika orodha ya watuhumiwa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Slaam, Paul Makonda.
Mwanamuziki huyo anatuhumiwa kutumia na kusambaza dawa hizo ambapo anashikiliwa hadi hapo uchunguzi utakapokamilika.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Nay wa Mitego ameandika, @vanessamdee Sijui ulipo anzia, But mpaka apa Ulipofikia Umepambana sana, Nina Imani #Mungu Ndo aliye kufanyia Wepesi mpaka kua #BrandKubwa na kupata hatua Ulizo nazo. Naamini Mungu Huyu Huyu ndiye atakae kufanyia Wepesi Kwenye yanayo kukabili ivi sasa. Amini izi ni Changa moto tu na ni Mapito ambayo Binadamu tunapitia kwenye Safari ya kuelekea kutimiza Ndoto zetu.”
 Aidha, Nay wa Mitego aliendelea kuandika “I pray for you my Friend @vanessamdee Naamini Brand yako haiwezi haribika kirahisi Coz ume pambana Sana ni wasichana wachache wenye kuweza Ku Fight Kama wewe. Mungu ata kusimamia uzidi kusonga mbele, Haya yata pita Nina Imani utakua StrongZaidi. #CashMadame KeepItUp. Napenda kuona Wasichana wakifanikiwa kwa kufanya Kazi kwa Bidii #VannesaTheBrand Wewe ni Mwanamke wa Shoka, Usiyumbishwe kua Mfano. Najivunia uwepo wako kwenye Game ya Muziki Wetu. Don’t give up✊🏿 #VannesaTheBrand.”
@vanessamdee Sijui ulipo anzia, But mpaka apa Ulipofikia Umepambana sana, Nina Imani #Mungu Ndo aliye kufanyia Wepesi mpaka kua #BrandKubwa na kupata hatua Ulizo nazo. Naamini Mungu Huyu Huyu ndiye atakae kufanyia Wepesi Kwenye yanayo kukabili ivi sasa. Amini izi ni Changa moto tu na ni Mapito ambayo Binadamu tunapitia kwenye Safari ya kuelekea kutimiza Ndoto zetu, I pray for you my Friend @vanessamdee Naamini Brand yako haiwezi haribika kirahisi Coz ume pambana Sana ni wasichana wachache wenye kuweza Ku Fight Kama wewe. Mungu ata kusimamia uzidi kusonga mbele, Haya yata pita Nina Imani utakua StrongZaidi. #CashMadame KeepItUp. Napenda kuona Wasichana wakifanikiwa kwa kufanya Kazi kwa Bidii #VannesaTheBrand Wewe ni Mwanamke wa Shoka, Usiyumbishwe kua Mfano. Najivunia uwepo wako kwenye Game ya Muziki Wetu. Don't give up✊🏿 #VannesaTheBrand
A post shared by NayTrueboy (@naytrueboy) on

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post