SANCHEZ ATWAA TUZO YA VITALITY

LICHA ya kudaiwa kuwa hana furaha klabuni Arsenal na atatimka mwishoni mwa msimu huu,Alexis Sanchez ameendelea kuonyesha kuwa jamaa ni moto mkali klabuni hapo baada ya jana Ijumaa kuibika mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Februari.

Sanchez ameibuka mshindi wa tuzo hiyo inayofahamika zaidi kama Vitality Player of the Month baada ya mwezi Februari kuifungia Arsenal mabao matatu.Mabao mawili dhidi ya Hull City kwenye ligi kuu England na moja dhidi ya Bayern Munich kwenye ligi ya mabingwa Ulaya.

Alexis amepata asilimia 38 ya kura zote.Nafasi ya pili imechukuliwa na Alex Oxlade-Chamberlain huku Lucas Perez akishika nafasi ya tatu.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post