SHAMSA FORD AWATULIZA MASHABIKI

MSANII wa filamu za Bongo, Shamsa Ford, amewatoa hofu mashabiki hasa wale waliokuwa na mashaka juu ya picha aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa amekumbatiwa na msanii mwenzake, Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’.

Akizungumza na ZOTE KALI , Shamsa alisema kuwa yeye ni mke wa mtu na anampenda mume wake, Chid Mapenzi, hivyo ukaribu wake na Gabo upo kwa ajili ya kazi na si kama wengi walivyodhani.
“Nashangaa watu wanasema mengi juu ya ile picha, kwani nani hajui kama mimi ni mke wa mtu na Gabo naye ana mke wake, niliweka ile picha na kuandika maneno kuwa nikiigiza na Gabo huwa nahisi ni uhalisia ili kutangaza filamu yetu mpya,” alisema Shamsa.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post