SHULE YA MSINGI TUMAINI ILIYOJIRANI NA UWANJA WA NDEGE WA BUKOBA KUHAMISHWA

Baadhi ya madarasa ya shule ya msingi Tumaini iliyopo kata ya Kashai, wilaya ya Bukoba Mjini ikisubiri kuhamishwa kutokana na usalama baada ya kuwa karibu na eneo la Kiwanja cha Ndege cha Bukoba.
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Rwambaizi ya Karagwe wakiwa kwenye kiwanja cha ndege cha Bukoba, katika ziara ya mafunzo
Abiria wakiwasilisha taarifa zao ikiwemo na ukaguzi wa tiketi, kabla ya kupanda ndege ya Auric wakitokea kwenye kiwanja cha ndege cha Bukoba wakielekea Mwanza.
Msimamizi wa Kitengo cha Usalama, Bi. Theodora Myaka wa Kiwanja cha ndege cha Bukoba (kushoto) akimkagua abiria Bi. Jasmindee Dhaliwa, Raia wa Bulgaria huku Afisa Usalama Msaidizi, Bw. Reginald Baraka akiangalia.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post