SIMBA SC YAJILIPUA KWA HAJIB, MKUDE

SHARE:

Klabu ya Simba ipo tayari kumpa mkataba mpya, Nahodha wake, Jonas Mkude utakaomruhusu kuondoka akipata timu nje ya nchi. Hayo yamesemwa...

Klabu ya Simba ipo tayari kumpa mkataba mpya, Nahodha wake, Jonas Mkude utakaomruhusu kuondoka akipata timu nje ya nchi.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya klabu hiyo, Zacharia Hans Poppe jana ofisini kwake, Mbezi, Dar e Salaam.
Hans Poppe amesema wapo kwenye mazungumzo ya mkataba mpya na kiungo huyo, ambayo yanaendelea vizuri.
Zacharia Hans Poppe amesema wapo kwenye mazungumzo ya mikataba mipya na Jonas Mkude na Ibrahim Hajib
“Wakala wa Mkude anaishi Afrika Kusini, na sisi hatuna shida kuwa na kipengele cha kumruhusu kwenda nje akipata timu. Kwa hivyo tunatarajia tutafikia makubaliano katika mazungumzo yanayoendelea,”amesema Poppe.
Pamoja na hayo, kumekuwa na taarifa za Mkude kutaka kwenda kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini ambako alikwenda kwa majaribio mwaka jana
Mkude aliyedumu Simba SC tangu mwaka 2011 baada ya kupandishwa kutoka kikosi cha vijana, anatarajiwa kumaliza mkataba wake Juni mwaka huu.
Katika hatua nyingine, Hans Poppe amesema Simba haina taarifa yoyote kuhusu mshambuliaji wake, Ibrahim Hajib kutakiwa na klabu ya Haras El Hodoud ya Misri.
“Ni kweli Hajib alikwenda majaribio Misri na ikaripotiwa amefuzu, lakini tangu hapo ile klabu haijawasiliana na sisi kwa chochote, kwa hivyo hatujui kinachoendelea,”amesema Poppe.
Hajib alikuwa Misri kati ya Desemba na Januari kwa majaribio, ambako ilielezea amefuzu – lakini klabu hiyo ya Ligi Kuu ikashindwa kukamilsha uhamisho wa mchezaji huyo kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari mwaka huu
Sasa inatarajiwa Hajib anaweza anaweza kuondoka Simba SC kama mchezaji huru Juni mwaka huu atakapmaliza mkataba wake.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SIMBA SC YAJILIPUA KWA HAJIB, MKUDE
SIMBA SC YAJILIPUA KWA HAJIB, MKUDE
https://1.bp.blogspot.com/-udj50WXneCM/WNorDfHNA5I/AAAAAAAAYzo/PjqIuOokJPgODlsKcBpKlC_UDk3_OfjMwCLcB/s1600/MASHABIKI-SIMBA.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-udj50WXneCM/WNorDfHNA5I/AAAAAAAAYzo/PjqIuOokJPgODlsKcBpKlC_UDk3_OfjMwCLcB/s72-c/MASHABIKI-SIMBA.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/simba-sc-yajilipua-kwa-hajib-mkude.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/simba-sc-yajilipua-kwa-hajib-mkude.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy