SOPHIA SIMBA AIAGA UWT

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT), Sophia Simba leo amesema hana mpango wa kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine katika uchaguzi ujao.
Simba amesema hayo wakati wa mkutano wa wanawake wa CCM uliofanyika katika ukumbi wa halmashauri ya manispaa ya Temeke.
Kabla ya mkutano huo yeye pamoja na wajumbe walitembelea wodi ya wazazi  ya hospitali ya Temeke na kufanya usafi.
"Leo wakati tukiadhimisha wiki hii muhimu ya wanawake duniani napenda kutumia fursa hii adhimu kuwatangazia wanachama wanawake wa CCM kwamba kwa hiari yangu mwenyewe nimeamua kutogombea nafasi hii ya uenyekiti taifa katika uchaguzi ujao",amesema.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post