SOPHIA SIMBA ‘ANENA’ KUHUSU MPANGO WA KWENDA UPINZANI, KUISALITI CCM

SHARE:

Aliyekuwa mwanachama mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba ambaye alifukuz...

Aliyekuwa mwanachama mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Sophia Simba ambaye alifukuzwa uanachama kwa usaliti, amezungumzia hatua aliyoichukua baada ya uamuzi huo dhidi yake.
Wikendi iliyopita, CCM ilitangaza kumvua uanachama Mwanasiasa huyo baada ya kumtia hatiani, ambapo taarifa zinadai kuwa yeye alibainika kwenda nyumbani kwa aliyekuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa hata baada ya uchaguzi mkuu akiwa amevalia hijabu kujificha. Hali iliyotafsiriwa kuwa alikuwa akimpelekea siri za chama.
Baada ya uamuzi huo wa CCM kutangazwa, Lowassa alimkaribisha Sophia Simba na wenzake 12 waliofukuzwa, kujiunga na Chadema huku akiwaita mashujaa waliokuwa wanatetea demokrasia ndani ya chama hicho tawala.
Hata hivyo, Sophia Simba amesema kuwa hana mpango na hatahamia katika chama chochote kwani maisha yake yote yametokana na kuitumikia CCM. Mwanasiasa huyo ambaye alijiunga na CCM tangu ilipozaliwa mwaka 1977 na kushika nyadhifa mbalimbali baadae, amesema kuwa atabaki kuwa mkereketwa wa chama hicho.
“Napenda kuwaeleza Watanzania wote, wafahamu kuwa sina mpango wowote wa kujiunga na upinzani. Na unajua CCM ina makundi mawili, la kwanza ni wanachama wenye kadi na la pili wakereketwa ambao ni wengi. Na mimi nitaingia katika kundi hilo na sio kuhama,” Sophia Simba anakaririwa na Mtanzania.
Aidha, alikanusha taarifa zilizokuwa zimeripotiwa kwenye baadhi ya mitandao kuwa amekutana na mwanasiasa mmoja wa upinzani. Alisisitiza kuwa hakufanya hivyo na hana mpango huo.
Akizungumzia tuhuma za kukisaliti chama hicho zilizopelekea kung’olewa kwake, alikana kuwa msaliti wa chama hicho ingawa alisisitiza kuwa hataki kulizungumzia kwa undani bali anamuachia Mungu anayeiona nafsi yake.
“Sitaki kuzungumzia kwa udani suala la usaliti ila kwa ufupi, Mungu anaishuhudia nafsi yangu. Jamani, hivi kweli nikisaliti chama changu ambacho kimenilea katika maisha yangu yote!”
Katika hatua nyingine, alisema kuwa hana mpango wa kwenda mahakamani kutafuta haki ya kurejea ndani ya chama hicho kwani kufanya hivyo ni kukosa fadhila kwa jinsi ambavyo chama hicho kimempa maisha. Mwanasiasa huyo mkongwe alisema kuwa amepokea adhabu aliyopewa kwa mikono miwili na kwamba hana kinyongo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SOPHIA SIMBA ‘ANENA’ KUHUSU MPANGO WA KWENDA UPINZANI, KUISALITI CCM
SOPHIA SIMBA ‘ANENA’ KUHUSU MPANGO WA KWENDA UPINZANI, KUISALITI CCM
https://2.bp.blogspot.com/-BLZZWH2Vyqs/WMe30prDtFI/AAAAAAAAX4s/GWZXmEwcgc4UosodZk7EGqoRIKugmbh_wCLcB/s1600/Sophia-Simba-2.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-BLZZWH2Vyqs/WMe30prDtFI/AAAAAAAAX4s/GWZXmEwcgc4UosodZk7EGqoRIKugmbh_wCLcB/s72-c/Sophia-Simba-2.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/sophia-simba-anena-kuhusu-mpango-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/sophia-simba-anena-kuhusu-mpango-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy