SSRA YAZINDUA MFUMO WA TEHAMA KWA WANACHAMA

SHARE:

Dar es Salaam.  Mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii  nchini (SSRA) imeanzisha mfumo mpya wa Teknolojia ya Haba...

Dar es Salaam. Mamlaka ya usimamizi na udhibiti wa sekta ya hifadhi ya jamii  nchini (SSRA) imeanzisha mfumo mpya wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano  utakao wawezesha wanachama  kutuma na kufuatilia malalamiko yao.
Akizungumzia mfumo huo Ofisa wa SSRA David Nghambi alisema mfumo huo mpya utaiwezesha SSRA kupokea na kushughulikia malalamiko hayo moja kwa moja kwa wakati.
Alisema mfumo huo unaotambuliwa kwa jina la SSRA upo kwa njia ya mifumo ya simu (mobile application)na  unapatikana kwa njia ya simu za mkononi kupitia mtandao wa google hivyo mtu yeyote anaweza kuupakua na kuweka malalamiko yake.
"Mfumo huu hauna hatua nyingi kwani unakuingiza moja kwa moja katika ukurasa utakaokuwezesha kuingiza malalamiko yako na mamlaka itaweza kuyashughulikia" alisema

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SSRA YAZINDUA MFUMO WA TEHAMA KWA WANACHAMA
SSRA YAZINDUA MFUMO WA TEHAMA KWA WANACHAMA
https://1.bp.blogspot.com/-8Au975bEVKs/WLbthLnQU6I/AAAAAAAAXFA/zwLWRBD75y803D2CLl0BlHcImo183fM8gCLcB/s1600/SSRA%252BPICHA.jpg
https://1.bp.blogspot.com/-8Au975bEVKs/WLbthLnQU6I/AAAAAAAAXFA/zwLWRBD75y803D2CLl0BlHcImo183fM8gCLcB/s72-c/SSRA%252BPICHA.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/ssra-yazindua-mfumo-wa-tehama-kwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/ssra-yazindua-mfumo-wa-tehama-kwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy