TAASISI YA KILIMO KUTOA FURSA KWA VIJANA 1500

Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya  Kilimo ya Namaingo Business Agency, Biubwa Ibrahim amesema leo atawawezesha vijana 1500 kujikwamua na umasikini kupitia kilimo biashara.
Biubwa amesema hayo wakati wa uzinduzi wa mpango wa kujikwamua na umasikini kwa vijana kati ya umri wa miaka 18 hadi 30.
Akizindua mpango huo alisema ufugaji wa nyuki, samaki pamoja na kilimo cha mboga mboga vitaweza kuwaokoa vijana wengi na hivyo wataepukana na vishawishi vya uvunjifu wa maadili amesema.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post