TAASISI YA MISA TANZANIA YAWATUNUKU VYETI WANAHABARI KANDA YA ZIWA.

SHARE:

Mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa wanahabari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambayo ni Mwanza, Mara, Geita na Simiyu, walionufaika na mafunz...

Mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa wanahabari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa ambayo ni Mwanza, Mara, Geita na Simiyu, walionufaika na mafunzo yaliyotolewa na taasisi MISA Tanzania, akipokea cheti cha ushiriki kutoka kwa mwakilishi wa taasisi ya FES Tanzania (katikati), iliyofadhiri mafunzo hayo. #BMGHabari

Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania, imewatunuku vyeti vya ushiriki wanahabari kutoka vyombo mbalimbali katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Wanahabari waliopatiwa vyeti hivyo ni waliopatiwa mafunzo ya kuwajengea uelewa juu ya Sheria Mpya ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017.

Mafunzo hayo ya siku mbili yalianza juzi alihamisi na kutamatika jana katika Hotel ya Adden Pallace Jijini Mwanza, yakifadhiliwa na Taasisi ya Friedrick Ebert Stiftung (FES) tawi la Tanzania.

Akizungumza mapema kabla ya kukabidhi vyeti kwa washiriki, mwakilishi wa taasisi ya FES Tanzania, Violet John, aliwahimiza wanahabari kutumia vyema hayo vyema katika kuboresha kazi zao huku pia akiwahimiza kufikisha kwa wenzao yale waliyojifunza.

Edwin Soko ambaye ni mmoja wa wanahabari waliopatiwa mafunzo hayo, aliishukuru MISA Tanzania kwa kutambua umuhimu wa wanahabari kujifunza kuhusu Sheria Mpya ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 na Kanuni zake za mwaka 2017 na kubainisha kwamba elimu hiyo wataifikisha kwa wenzao.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TAASISI YA MISA TANZANIA YAWATUNUKU VYETI WANAHABARI KANDA YA ZIWA.
TAASISI YA MISA TANZANIA YAWATUNUKU VYETI WANAHABARI KANDA YA ZIWA.
https://1.bp.blogspot.com/-jUq3BTe_UE4/WLu76TnNq5I/AAAAAAAAXag/sqX0SwXv15kHadMdVTWhhVHD-JScFntDwCLcB/s1600/1.JPG
https://1.bp.blogspot.com/-jUq3BTe_UE4/WLu76TnNq5I/AAAAAAAAXag/sqX0SwXv15kHadMdVTWhhVHD-JScFntDwCLcB/s72-c/1.JPG
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/taasisi-ya-misa-tanzania-yawatunuku.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/taasisi-ya-misa-tanzania-yawatunuku.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy