TANZANIA YAPATA MKOPO WA BILIONI 109 KUJENGA BARABARA YA NYAHUA-CHAYA

SHARE:

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (MB), (kulia), akipeana mkono na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uch...

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (MB), (kulia), akipeana mkono na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (katikati), baada ya kubadilishana Hati ya Mkopo wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es Salaam.
2
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (kushoto), wakisaini mkataba wa makubaliano ya mkopo wa wa riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam..
3
Baadhi ya wajumbe walioongozana na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (hayupo pichani) wakishuhudia utiwaji saini wa mkataba wa makubaliano ya mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
4
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (mbele kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu umuhimu wa barabara ya Nyahua-Chaya, itakayojengwa kwa kiwango cha lami baada ya kupata fedha kutoka kwenye Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait.
5
Wajumbe kutoka Tanzania wakishuhudia utiwaji saini wa mkataba wa makubaliano ya mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
6
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (wa tatu kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (wa tano kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wengine kutoka Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano pamoja na Maafisa wa Serikali ya Kuwait, baada ya kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya, yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
7
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (wa pili kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (wa pili kushoto) wakiondoka baada kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es salaam.
8
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na wajumbe kutoka Kuwait wakijadili jambo baada ya kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya, yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TANZANIA YAPATA MKOPO WA BILIONI 109 KUJENGA BARABARA YA NYAHUA-CHAYA
TANZANIA YAPATA MKOPO WA BILIONI 109 KUJENGA BARABARA YA NYAHUA-CHAYA
https://2.bp.blogspot.com/-FTnzuh7_k0Q/WNIMXb3YwNI/AAAAAAAAYY4/h9S3jejh1v4KNhwmIYs26Z7PRRJM92EZgCLcB/s1600/1-81.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-FTnzuh7_k0Q/WNIMXb3YwNI/AAAAAAAAYY4/h9S3jejh1v4KNhwmIYs26Z7PRRJM92EZgCLcB/s72-c/1-81.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/tanzania-yapata-mkopo-wa-bilioni-109.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/tanzania-yapata-mkopo-wa-bilioni-109.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy