TAZAMA VIDEO MPYA LA LADY JAYDEE X H_ART THE BAND- ROSELLA (OFFICIAL VIDEO)

Baada ya kufanya vizuri na video yake ya mwisho ya Together Remix alioimba na mpenzi wake, Judith Wambura maarufu Lady Jaydee ameachia video yake nyingine aliyofanya pamoja na H_art the Band kutoka nchini Kenya.
Wimbo huo unakwenda kwa jina la Rosella. Burudika na wimbo huo hapa chini;
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post