TAZAMA VIDEO MPYA YA HARMONIZE- NIAMBIE (OFFICIAL VIDEO)

Baada ya kufanya vizuri na wimbo wa Matatizo alioutoa mara ya mwisho, mwanamuziki Harmonize kutoka WCB ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Niambie.
Wimbo huu ni wa mapenzi ambapo anamsihi mpenzi wake amwambie ni kwanini anampenda licha ya kuwa mambo yake hayapo vizuri.
Kwenye video anaonekana Harmonize akiwa na aliyekuwa mpenzi wake, Wolper licha ya kudaiwa kuwa wawili hawa waliachana.
Tazama video hiyo hapa chini.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post