TAZAMA VIDEO MPYA YA HARMORAPA FT. JUMA NATURE – KIBOKO YA MABISHOO

Msanii Harmorapa ambaye haishi visa mbalimbali kila kukicha hasa kwenye mitandao ya kijamii, ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Kiboko ya Mabishoo.
Wimbo huu uliotengenezwa na Mr. T Touch, Harmorapa amemshirikisha mkongwe wa muziki hapa Tanzania, Juma Nature. Burudika na video hiyo hapa chini.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post