TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) KUKABIDHI BIL. 568 KWA VIJANA WABUNIFU

SHARE:

Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) inategemea kukabidhi jumla ya shilingi bilioni 568.575, 000/= kwa vijana 12 waliobuni mawazo bora...

Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) inategemea kukabidhi jumla ya shilingi bilioni 568.575, 000/= kwa vijana 12 waliobuni mawazo bora yatakayosaidia kuondoa changamoto zinazoikabili sekta ya Afya hapa nchini.
Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dkt. Hassan Mshinda ameyasema hayo Jijini Dar es Salaam alipokuwa akizindua mradiwa Data for Local Impact Innovation Challenge (DLI) uliopo chini ya Atamizi ya DTBi yenye lengo la kuleta mapinduzi katika matumizi ya taarifa na takwimu mbalimbali katika sekta ya Afya.
Dkt. Mshinda amesema shughuli za ujasiriamali na ubunifu ni muhimu na chachu ya maendeleo ya nchi yoyote kwa kuwa zinasaidia kutengeneza ajira, kuongeza wigo wa shughuli za uzalishaji mali pamoja na kuchangia katika pato la taifa.
Amesema Serikali kupitia COSTECH iliamua kuanzisha Atamizi ya DTBi mwaka 2011 ili kuwasaidia wajasiriamali wanaoshughulika na suala la TEHAMA.
“Nafahamu mradi huu umejikita katika changamoto za matumizi ya taarifa katika sekta ya afya, maendeleo ya kiuchumi na usawa wa kijinsia kama yalivyotanabaishwa katika malengo ya maendeleo endelevu, ubunifu hasa katika eneo la TEHAMA ni muhimu sana kwa sababu unasaidia kuongeza tija na ufanisi wa utoaji huduma katika sekta mbalimbali nchini”,Amesema Dkt. Mshinda.
Aidha Dkt. Mshinda amesema nia ya DTBi ni kuwawezesha Vijana, kuwajengea uwezo na kuwapa misaada ya msingi wataalam na wabunifu wa kitanzania waliopo katika eneo la TEHAMA ili kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili jamii ya kitanzania kwa kutumia teknolojia.
Kwa upande wake Meneja Mradi wa DTBi, Agapiti Manday amesema wanapokea mawazo mbalimbali ya vijana na kuyachuja na baadae wanachukua vijana wachache walio na mawazo bora zaidi na kuwawezesha ili waweze kuweka mawazo yao katika vitendo.

Mradi huo mpya kwa Tanzania, umefadhiliwa na Mfuko wa Rais wa Marekani katika Vita dhidi ya Makali ya UKIMWI (PEPFAR) na kusimamiwa na taasisi ya serikali ya marekani ya Changamoto za Millenia (MCC), Mradi huu umeanza utekelezaji mnamo mwezi Aprili mwaka 2016.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) KUKABIDHI BIL. 568 KWA VIJANA WABUNIFU
TUME YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA (COSTECH) KUKABIDHI BIL. 568 KWA VIJANA WABUNIFU
https://3.bp.blogspot.com/-fox3YuurRoE/WL6iMMJZB7I/AAAAAAAAEyM/j7n7-jmyRAs3pMug_oGsfARwPZKR_d9JwCLcB/s1600/COSTEC.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-fox3YuurRoE/WL6iMMJZB7I/AAAAAAAAEyM/j7n7-jmyRAs3pMug_oGsfARwPZKR_d9JwCLcB/s72-c/COSTEC.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/03/tume-ya-sayansi-na-teknolojia-costech.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/03/tume-ya-sayansi-na-teknolojia-costech.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy