TWITTER: DONALD TRUMP NAE ASHUSHA UJUMBE KWA SNOOP DOGG

Baada ya mwanasheria wa Trump, Michael Cohen kufunguka kuhusu video ya Snoop Dogg kumlenga vibaya Donald Trump Huku akimtaka kwamba aombe msamaha kwa Trump, Haya sasa Donald Trump ameamua kujibu mashambulizi.
Hakuna asiyejua kwamba ukija katika upande wa kurasa ya Twitter, Trump ndio mahala pake ambapo hujiachiaga, Ila this ameamua kufunguka juu ya video ya Snoop Dogg kwa kitendo alichokifanya cha kuonyesha pisto usoni mwa mfano wa Donald Trump.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post