UJERUMANI YATIBUA REKODI YA KOCHA WA UINGEREZA SOUTHGATE

Kocha Gareth Southgate amepata kipigo cha kwanza wakati Uingereza ikizamishwa kwa goli 1-0 dhidi ya Ujerumani kwa goli lililofungwa kiufundi na Lukas Podolski katika kipindi cha pili.

Southgate alikuwa hajafungwa katika michezo minne tangu aitwae Uingereza kutoka kwa kocha Sam Allardyce, na kushuhudia machungu hayo kutoka kwa mabingwa wa kombe la dunia.

Katika mchezo huo Adam Lallana alipiga mpira uliogonga mwamba wa goli na shuti la Dele Alli lilizuiwa na kipa Marc-Andre ter Stegen, katika kipindi cha kwanza.
     Lukas Podolski akiwa haamini goli alilofunga kwa kufunika kwa mikono uso wake

                                 Jamie Vardy akiwa amevaana na kipa Marc-Andre ter Stegen
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post