USHAURI WA MASOUD KIPANYA KWA RAIS DKT MAGUFULI

Mtangazaji Masoud Kipanya amemshauri Rais Dkt Magufuli kuwaangalia kwa karibu watendaji wake waliowateua ambao ni sawa na mikono yake kwani wakilalamikiwa sana, basi kutakuwa na tatizo.
Masoud Kipanya ameyasema hayo alipokuwa akihojiwa kuhusu tuhuma mbalimbali zinazojadiliwa kwa nguvu kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kuhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mbali na hilo, Kipanya amemshauri Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kujitokeza hadharani na kuzungumzia tuhuma zilizopo mitaani kwani ukimya wake unawafanya watu wanaamini kuwa tuhuma hizo ni za kweli.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post