USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI- WILAYANI KONGWA DODOMA.Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuiadhimisha Siku ya Wanawake yaliyofanyika Wilayani Kongwa Mkoa wa Dodoma Machi 8, 2017
2
3
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa kuisherekea Siku ya Wanawake katika Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa Dodoma Machi 8, 2017.
4
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe.Bw Deogratius J. Ndejembi akiwasilisha hotuba yake wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake iliyofanyika wilayani hapo Machi 8, 2017
5
Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza mgeni Rasmi(hayupo pichani) wakati wa sherehe za kuiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2017 iliyofanyika kimkoa katika Wilaya ya Kongwa Dodoma.
6
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Siku ya Wanawake iliyoadhi,ishwa kimkoa Wilayani Kongwa Dodoma.  (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU – DODOMA)
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post