VIDEO: AANGUA KILIO BAADA YA KULIWA ELA YA MTAJI AKIITABIRIA USHINDI YANGA

Kijana mmoja anayeaminika kuwa ni shabiki wa Yanga ameangua kilio hadharani baada ya ‘kuliwa’ TZS elfu 50 alizotumia katika kubashiri matokeo ya mchezo wa Simba na Yanga uliofanyika Februari 25 mwaka huu.
Kijana huyo aliyejitambulisha kwa jina la Kanjunju John alikuwa akihojiwa na waandishi wa habari huku akilia baada ya fedha yake kuchukuliwa aliposhindwa kubashiri sawa sawa ambapo alisema Yanga ndio ingeshinda.
Alisema kuwa yeye ni machinga na fedha hiyo ilikuwa ni ya mkopo kwa ajili ya biashara yake. Mchezo huo wa Simba na Yanga ulimalizika kwa samba kuibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Yanga.
Hapa chini ni video ya kijana huyo akihojiwa na waandishi wa habari.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post