VIDEO: DIAMOND ATOA USHAURI KWA HARMORAPA, AZUNGUMZIA ‘COLLABO’ YAKE NA HARMONIZE

Kwa siku za hivi karibuni mjadala kuhusu Harmorapa kwenye mitandao ya kijamii umekuwa mkubwa sana kutokana na msanii huyo kuja na kituko kipya kila iitwapo leo.
Licha ya awali kusema kuwa alijiiita Harmorapa kutokana na kufanana kwake na Harmonize kutoka WCB, inaonekana uhusuano wake na kundi hilo si mzuri baada ya kuibu kwa mgogoro na mnenguaji wa kundi hilo, Moses Iyobo.

Lakini sasa bosi wa WCB amepata nafasi ya kutoa maoni yake kuhusu Harmorapa na ‘collabo’ kati ya  Harmorapa na Harmonize. Msikilize hapa chini;
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post