VIDEO: HARMORAPA ASIMULIA HISTORIA YA MAISHA YAKE NA ALIVYOANZA MUZIKI

Mwanamuziki aliyeibuka hivi karibuni na kujiita Harmorapa kwa madai kuwa amefanana na mwanamuziki Harmonize amefanya mahojiano katika kipindi cha Papo Kwa Papo ambacho hurushwa mtandaoni kila siku ya Jumatano.

Harmorapa amefunguka masuala mbalimbali kuhusu maisha yake binafsi na muziki na pia kueleza nini malengo yake katika kuendeleza kipaji chake.
Hapa chini ni mahojiano ya Harmorapa aliyofanya na kuzungumzia maisha yake.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post