VIDEO MPYA YA TEKNO – RARA (OFFICIAL VIDEO)

Mwanamuziki Tekno kutoka nchini Nigeria ameendelea kufanya vizuri baada ya kuachia ngoma kali kama vile Duro, Where, Diana. Zamu hii mwanamuziki huyo ameachia video ya wimbo wake wa Rara alioundaa mwenye kwa kushirikiana na Selebobo.

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post